Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna wakati tunahitaji ku realise stress... Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya.. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya... Kuna wakati hatuhitaji kusoma post zenye kutafakarisha... Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia...
Solution hii hapa sasa.... Utashangazwa na matokeo take... Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isyo kifani... Fanya hivi hapo ulipo tupia picha yako.. Ya sehemu yoyote mwilini... Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa... Mimi nitaaza na hizi.. View attachment 1217156View attachment 1217157View attachment 1217158
Sangoma naona unataka watu waingie kingi wapost mpaka sura zao
 
Hivi ndio vidole vya kike... Halafu ndio ugonjwa wangu
Penda na vyangu basi

11a4e7626d945bb2317f7ce9dd02afb0.jpeg
 
Back
Top Bottom