😀😀 Malaika wenyewe ninao hapa.. wanasema ilikuwa mistake kuwepo hapa.. wewe ni female angel.. sema mabawa yako hayaonekani kwa macho ya kawaida...
uzuri mashabiki ndio wanajua kiwango cha mchezaji 😀😀😀.. hakuna cha uongo kwa mkuu
Fortnox .. usiamishe magori basi ☺️☺️