Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Ukitaka kusuka muite huyu fundi wangu.Ooh yeah ana mkono mchungu itakuwa maana sio kwa maumivu hayo ..
Huyo yupo vizuri na hiyo ndo raha ya kusuka sio baadae uone vipele .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyooooooooh.Jf nzima na majukwaa yote wanajua hakuna kama boss ledi[emoji3]
Asante sanaPole. Hizi nywele mbona haziumagi jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unajua siku hizi umeshanduka na kuchachuka wee? Yaan uwiiiiiiih
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Na wote tuseme Amen.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyooooooooh.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kanaweza kupitwa na hela kapo hapahapaYanii cocastic ukiingia hebu anza na comments za juu juukabisa bana!
Sasa kimetulia kabisa nasubiria zianze kuwasha sasa na joto hili [emoji28].Pole sana mamy hope kishatulia!
HapahapaKatume kuleeee jomoneeeeeeh shouzzzzzzzz angu [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Bora umeiona hii shoga maana nilikuwa naenda kuifuta.Sijaona lips bhana wee best, [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Shingo mama, shingoo uwiiiiiiih
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kanabongeka tuNamuona anazidi kunenepa
Boss big[emoji23]Boss bonge
Nani kasema[emoji1787][emoji848]Hahaha emoji zinatusaidia kwa mengi
Hiyo picha ni mbaya [emoji28]
Itakua mkono wa msusi!! Anavuta mpaka mkojo unataka kutoka!Pole. Hizi nywele mbona haziumagi jamani
Eeh[emoji849]Itakua mkono wa msusi!! Anavuta mpaka mkojo unataka kutoka!
Ukitaka kusuka muite huyu fundi wangu.
Bei poa.
Ndiye aliyenifanya nianze kusuka yebo..
Haumini,yaani ujue haumizi...
Nywele yake sasa anasuka nzuuuurii
MimiNani kasema[emoji1787][emoji848]
Hiyo sikuKanabongeka tu
Sawa [emoji1787]Mimi