Mwambie akupe hela ndiyo unamtumiaAtahitaji ushahidi hivi unasahau mdogo wako alivyo mbishi?
Muulize Chakorii
Nahisi umemsahau mdogo wetuMwambie akupe hela ndiyo unamtumia
Redbull 😀😀😀 jirani mwezi wa tatu huu
Sijawahi pita huko kwenye teams zenu aisee. Ila namjua kwa ubishiNahisi umemsahau mdogo wetu
Kapitie ule uzi wa Liverpool ndo utaelewa tunamzungumzia nani hapa
Nikiwa na hiyo selfie ya leo hata laki atanipaa
hapa kama sehemu falani hivi.. nivunje code 😀😀
Kwa mapenzi uliyonayo Kasie mwenye mahaba yake, hata ingetokea nini babu aoikumbuka mahaba moto moto husahau kila kitu na kusameheNtaachika mwenziwoooo
Na uzeee huu unataka nife kwa upweke kama baba J? alivyotua tuu kutoka Dodoma hadi ICU 😅.
Vere true Kasie,.. .
Redbull 😀😀😀 jirani mwezi wa tatu huu
hapa kama sehemu falani hivi.. nivunje code 😀😀
haya basi acha niache jirani.. isje watu wakaenda tazama kwenye camera hiyo position 😂😂😂😂😂Donti pliiizi jirani....😆😆😆
Enjoy KasieAahahahahahhaaaaaa
Usinichuzee weeweee...
Ntajikuta narudi Sikonge....😅 huku mjini bado napataka 😁😁.
haya basi acha niache jirani.. isje watu wakaenda tazama kwenye camera hiyo position 😂😂😂😂😂
kanako changamsha lakini 😀😀😀😀Nimejikuta katusi kamenitoka kudukudu....🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
kanako changamsha lakini 😀😀😀😀