Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwenye dash board ya gari, ukiangalia geji ya mafuta hua kuna kamshale flani kwenye ka alama ka tank ya mafuta. Kwa wengi tusiofahamu, ama either umeazima gari ya mtu au gari ni mpya. Kale kamshale hua kanaelekeza direction ya tanki la mafuta lipo upande gani WA gari.
 
Hahaaaaaa, nshatoka stage hiyo. Halafu kwa Nini uzitupe rasilimali asili wakati Kuna sehemu zahitajika! Hiyo dawa ya kansa
 
Asante mkuu. Siku nikinunua ndinga hii habari itanisaidia
 
Nimejifunza kitu kipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…