Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,835
Itakubidi utumie browser. Click tu attach video basi unasubiri mpaka inamaliza kuload. Kwenye app itazingua tu...Mbona nikitaka kutuma video inagoma wapendwa nielekezeni pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Unatumia app au blowser?Mbona nikitaka kutuma video inagoma wapendwa nielekezeni pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
App..Unatumia app au blowser?
App sidhani kama utaweza. Wana kiwango kidogo sana cha MB na ni mizengwe tupu. Kwenye browser unaweza kuweka mafaili mpaka yenye MB 100 na process ni ya moja kwa mojaApp..
Hio hapo inaload % ila tatizo chajiiiii... Ngoja niweke chaji kwanzaApp sidhani kama utaweza. Wana kiwango kidogo sana cha MB na ni mizengwe tupu. Kwenye browser unaweza kuweka mafaili mpaka yenye MB 100 na process ni ya moja kwa moja
SilatΕ« sha ngosha omagaka!
App ni challengeApp..
E banae hebu irushe basi. Mzigo tayari huo kha!hii hapa imemalizika ila chaji wapendwa [emoji12][emoji12][emoji12][emoji2096]View attachment 2148228
π€£π€£π€£π€£E banae hebu irushe basi. Mzigo tayari huo kha!
Hahahahahahaha..... Shimba Ya Buyenze bhanaSilatΕ« sha ngosha omagaka!
Nzagamba yang'walΕ«giko Δ«pandile hasΔ« [emoji1420][emoji1420][emoji1420] [emoji16]
Ng'wagΕ«kΕ« nzunone.
Nalemhola sana bhageshi.....Ng'wagΕ«kΕ« nzunone.
Ikalaga mhola [emoji1545]
Nikila zaidi ya hapo after 18hrs fast sinitalala naumwa tumbo?ππYaani mtu unakula hiki kimlo hiki halafu unakwenda zako huko ukiwa OK na watu wanakuona kabisa unacheka ukiwa OK. Ajabu sana [emoji16][emoji16]
DoneMkuu please futa hii comment yako nakuomba [emoji120][emoji120]
Ahsante kwa maelezo mkuuNi Boss Lady tu alikuwa kasimama kavaa suruali ya Gucci na mkanda wa Louis Vuitton tumbo na mabega viko wazi na uso unaonekana. Utafikiri Cleopatra yaani....
Leo kwa kweli nimefaudu mkuu [emoji16][emoji16][emoji123]