Dah! Leo nime miss sana forex member wa globa market.. kina Gina. forex angel, misskb lile hadi nimepatwa na majonzi.. kima gidy 😢😢.. Kashaija72 lile group lilikuwa na vituko sana nilikuwa napenda kucheka tu
Bata limeingiwa na upweke sijui kwanini, nimewakumbuka members flani.. wa group moja hadi raha imetoweka nimekumbuka zile moments dah😪😪😪.. hapa naangaika kuwa find mmoja mmoja yani nione kama nawapata