Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,376
I never knew a love like this beforeI wanna be right there where You are
In Your Presence oh Lord
I wanna be right there You are
I wanna be in Your Presence
Lord I wanna be, in Your Presence
Lord I wanna be, in Your Presence
Lini wewe utatupia selfieMmmmh...nomar sana.
Origin tena em nenda sijui google π€£Inaonekana tu kwa jina lake ..
Origin yake ni wapi ?
Watu mnaenjoy vinywaji ehh
Utaliwa zawadi yakoTafadhali mama mchubgaji fanya namna
I promise you a gift
Mbona nilikuwa natupiaLini wewe utatupia selfie
Haki iliwe tuu na zawadi ikishaahidiwa inapaswa itolewe
Basi zawadi napokea; ila kampango hakapoHaki iliwe tuu na zawadi ikishaahidiwa inapaswa itolewe
Zawadi inakuja tuuu hamna namnaBasi zawadi napokea; ila kampango hakapo
Hapo sawa. Baraka zako zinakuja asubuhiZawadi inakuja tuuu hamna namna
Aisee ongea na watu uyajue mamboOrigin tena em nenda sijui google π€£
Ia wine zangu origins zake najua
Try pia mocktail ya ginger ale na orange juice na sugar syrup kwa mbaliβ¦ kuna ka kitu pia wanawekaga nimekasahau β kanaishia na berry vile
Napenda kunywa kunywa
Mm hata naweza acha ice cream iyeyuke afu niweke kwa mug nikunywe na mrija π€£
Nakuelewa sanaaaaDaah huyu amenifanya nianze kupigia kelele watu kwa kuimba huu wimbo. Imba mwaya
Mmhh sijawahi ona mbonaMbona nilikuwa natupia
AminaππππHapo sawa. Baraka zako zinakuja asubuhi
Nimecheka mdogo angu. Wote tunavipiga vita vya imani; hatujafika bado, tunaendelea kupambanaNakuelewa sanaaaa
Ilo vibe nalipata vyedi.. Najijua mfano mimi nikiamka na tenzi yangu 1 basi naweza maliza nayo siku iko tu hapo mdomoni.
Endeleeni kumtukuza Mungu kwa nyimbo za sifa na kuabudu, huku mkituombea na sisi vuguvugu β nusu kwa Mungu nusu duniani. Yaan
Ahaha dunia kubwa hii mwenzanguAisee ongea na watu uyajue mambo
Huwa nazichukulia poa , kumbe ndo nzuri hivyo ..
Unajua vinywaji wewe dada balaaa, Mimi huwa nahisi vitakuwa vichungu pia ..
Well you're an expert on this miss , keep it up
Ntakutumia kesho akiwa hayupoAminaππππ
Ila nakosa kabisa cha kumrigishia mdogo wangu Saint Anne kesho aiseee
Niraambia nini watuu
π π π sawa mama mchungaji wacha niuchape usingizi, nikutakie usiku mwemaNtakutumia kesho akiwa hayupo
Kweli kabisaAhaha dunia kubwa hii mwenzangu
Ahsante. Uwe na usiku mwema piaπ π π sawa mama mchungaji wacha niuchape usingizi, nikutakie usiku mwema
Kuna nyingine ya rosella na orange juiceAisee ongea na watu uyajue mambo
Huwa nazichukulia poa , kumbe ndo nzuri hivyo ..
Unajua vinywaji wewe dada balaaa, Mimi huwa nahisi vitakuwa vichungu pia ..
Well you're an expert on this miss , keep it up