Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Abee mdogo angu
Utakuwa umechukua demu wa mod wewe siyo bure Kwa hizo banKuna mtu anazingua af anakuletea ushanta
Acha masihara basi [emoji2][emoji2]Sehemu nzuri eeh.. mahala pa kupumzikia [emoji3][emoji3][emoji3] baada ya heka heka.. jana peke yake nimetembea 726km.. hadi mda huu naingia kujificha.. ona jirani zangu haoView attachment 2144110
Dah..nimekuta manyoya Tu,watu wanasifia shingoNilikisubiri sana dokta umeniangusha!
Sikuoni bwana πππ..On my way T.O.Dππ
Heshima yako dada yanguAbee mdogo angu
Karma mamboAcha masihara basi [emoji2][emoji2]
Hahahaaa.....Dah..nimekuta manyoya Tu,watu wanasifia shingo
Nimeipokea mdogo anguHeshima yako dada yangu
Nyuma ya kibao Cha shuleππSikuoni bwana πππ..
Vizuri sana kama ni shwari mkuuShwari [emoji846][emoji846]
Akhsante sana kwa kuipokeaNimeipokea mdogo angu
weeeeeeee usinifanyie hivyo nimejihimu kuhesabu namba watoto.. Unajua nimekuwa mwalimu wa nidhamu hapaaa.. πππNyuma ya kibao Cha shuleππ
Mimi voda mdogo anguAkhsante sana kwa kuipokea
Unatumia vocha ya mtandao gani?
majukumu shem ya hapa na paleDoh unapotea sana shem!!
Mimi ndiyo mwalimu wa zamuππweeeeeeee usinifanyie hivyo nimejihimu kuhesabu namba watoto.. Unajua nimekuwa mwalimu wa nidhamu hapaaa.. πππ