Huo ni mkono wa kulia bana. Nina vidole virefu sanana vimeachana; mara nyingi kwenye picha vinaniharibia pozi hadi nikumbuke kujipozisha; ndiyo maana most of my pics huoni vidole. Afu wahenga wakati mwingine hata Pete hatukumbuki tumeziacha wapi.