Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
Siyo tu kimoja..Basi angalau umepata kimoja
Ongezea cha muhimu🙈
Siyo tu kimoja..Basi angalau umepata kimoja
reymage wa tigo ila simuoni kabisa!!Hawapo shouzzzzz,wee leta za halotel tyuuh.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Bora umtumie reymage pmWa tigo wapo kweli????
Bora umtumie reymage pm
Humu wapo ila hawasemi.
Ukitaka kuprove, iweke af kaa 1min ujaribu kuingiza kwako uone









Mtumie PM kuleee shouzzz angu, nae afurahi yaanreymage wa tigo ila simuoni kabisa!!





Best nilikuja kuiona saa mbaya sana.Halafu.. Brian ukajifanya hujaona kabisa ile tag???!!!!
Best nilikuja kuiona saa mbaya sana.
Ila niliijibu pia, labda kama hukupata notification.
Nilisikitika pia kuchelewa.
Sambaza upendoWale wa voda ....View attachment 2143727
Hiyo itakua tag nyingineulituma???
Sambaza upendo
Leo sijapitwa mkuu..
Ooh AmenLeo sijapitwa mkuu..
Abarikiwe aliezifanya lips zako.
Hiyo itakua tag nyingine
Mimi niliona ile ulitutag kwa Tinsley
Weuweeeeeeh km Ummy mwalimu yaan












Sio kwamba nilikosa vitu vizuri?lol kumbe! una bahati nilikusahau basi!

Umsahau wapi? Ulimtag ila anajizimisha data hapa lollol kumbe! una bahati nilikusahau basi!




