Ntuyadili tafadhari naomba badilisha hilo jina, mie nipo tayar kukupa jina zuri na avatar pia, sorry km naingilia uhuru wako, ila ulivyo hufanan na jina hilo, pia bila kuweka avatar lol,
Hahahha nilishindwa kutembea, vinabana weh hapo kwenye ankle ..
Nikasema mbona hii balaa unaweza kuanguka kabisa kisa kiatu ... Nilondoka bila kumuongelesha mtu
Hahahha nilishindwa kutembea, vinabana weh hapo kwenye ankle ..
Nikasema mbona hii balaa unaweza kuanguka kabisa kisa kiatu ... Nilondoka bila kumuongelesha mtu
Oooooh hallelujah, afu kuna mdada hapokei cm zake, anadai na ya kutolea, anajinunisha, uwiiiiiiiih khaaaaah, hadi macho yameanza kuwa makengeza ghafla. Mweeeeh