Kila kitendo cha dhambi ambacho mwadamu hufanya, huondoa sehemu ya upendo wake kwa Mungu ( huondoa sehemu ya maisha ambayo Mungu amempa mwanadamu), dhambi inafanya maisha kuwa mafupi you know π³π³.. The good things neema ya Mungu ipo kuturudisha katika pendo letu la kwanza..
Ufunuo wa Yohana 2:4
Lakini nina neno juu yako, ya kwamba umeuacha upendo wako wa kwanza.
Ufunuo wa Yohana 2:5
Basi, kumbuka ni wapi ulikoanguka; ukatubu, ukayafanye matendo ya kwanza. Lakini, usipofanya hivyo, naja kwako, nami nitakiondoa kinara chako katika mahali pake, usipotubu.
Furahiday njema.. πππ