Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,375
- 176,218
Shindwaaa!Walau za vijiko auntie
Shindwaaa!Walau za vijiko auntie
Do the needfull sasa.Auntie nimecheka
Bora umeshindwa.Mejaribu kuchungulia meshindwa jamani!!
Mependa venye unasmile
Sawa mkuu, hakikisha penye uko kuna mirinda nyeusihaina shida,nitafurahi sana ukiwa hivyo
Sijambo jamani nimependa picha yakoMarahaba. Hujambo mtoto mzuri ?
Ngoja nipekue pekueDo the needfull sasa.
Marahabaaa!! Hiyo miguu umerithi kwa nani?Shkamoo autie
Na mara nyingi huwa hivyo!Nilipoacha kidole nikahamia kwenye ulimi. Ila ulimi hadi leo nikijisahau![]()
Auntie uzuri we mwenyewe unazojua vizuuuuri hizi fito.Umeamua kunidanganya jamani
Nipo mzee wa fursa jamaniMama wa FURSA, nakuona nakuona..
JamaniiiShindwaaa!
Asante jamani
Ewalaaaa!Ngoja nipekue pekue
JamaniiiBora umeshindwa.
Nimependa vile umecomment.
Uita hiii
Si unairudisha eeeh?Nacheka mimi
Kwa mama yake SakayoMarahabaaa!! Hiyo miguu umerithi kwa nani?
Ulimi kuacha ni ngumu sana.Na mara nyingi huwa hivyo!
Kuna mtoto wa dadangu mpaka kesho ananyonya ulimi! Yuko kidato cha 5
Sizijui jamaniAuntie uzuri we mwenyewe unazojua vizuuuuri hizi fito.