Selfika na JF: Snap it. Show it

hapo ni before ndororo" mkuu cocastic unaupiga mwing
kaka angu alikua anafanya kazi Mahenge, huko nimevuruga mno, huo mlima ndororo kwanza huwa nawaza bila lami wasafiri ilikuaje? Nikawa nawazia wanafunzi wa Kwiro boys Sec, Regina mundi, St Agnes, kasita seminary, tabu waliyokua wanapata wakati huo.

Kwanza nitasahau safari hiyo tumefika mlima ndororo, wote tulishuka gari inapanda enyewe, kwanza pale hakuna kupishana, akuuuh sitasahau kule Ulanga kwanza Mawe tyuuh hadi ofisi za mkoa
khaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…