Hahahaaa.. hapana mkuu hivo ndio vitu vyangu.. hivo mihogo magimbi viazi kwa sana yani!!Ama umezoea sausage na masambusa swahiba [emoji3]
Hadi wanifikie hamu ya nyama itakuwa imeishaRaha ya swala kuchomea nyikani.. nikuagizie gari ulipo ikulete ππ
Nimefurahi sana maana watu wengi sasa hivi wamesahau vyakula vya asili na hawa hawa ndio husumbuliwa na changamoto mbalimbali za visukari na presha. Lini nikuagizie shehena ya viatu vitamu πHahahaaa.. hapana mkuu hivo ndio vitu vyangu.. hivo mihogo magimbi viazi vitamu kwa sana yani!!
Raha jipe mwenyewe!![emoji3577][emoji3531][emoji2956]
Kuna vingi sana, nitakufundisha hata kuwinda ππHadi wanifikie hamu ya nyama itakuwa imeisha
Kabisa mamyRaha jipe mwenyewe!![emoji3577][emoji3531][emoji2956]
Hahaha kwanini mzeeKwema mtoto wa mjini wewe jamaa potential sana ππ
umekataa kabisa gape la UkraineKabisa mamy
Ngoja nimpange baba PastaaaaKuna vingi sana, nitakufundisha hata kuwinda ππ
π€£π€£π€£π€£ jamani kwa mama kumenogaumekataa kabisa gape la Ukraine
Kwa hiyo suti lazima ningekusogelea
Baba pastaa tena.. unakuja na kurudi tu πππNgoja nimpange baba Pastaaaa
ujue unakosa fulsa πππ€£π€£π€£π€£ jamani kwa mama kumenoga
ππππ.. eeh kumbe kwa lezima πΆπΆπΆ
Tupo tukiwa tunapitia tuu huwa inatosha kabisa.Wakongwe wa selfika
Mnaanza kurejea
Safi
Selfika ili tukusabahi