Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee kumbe fododido
"Una nusu ya moyo wangu,
Na nusu iliyobaki kwangu
Yote nakupenda weweeee"

Nilikopita kote niliteleza
Ila kwako wee ndo kiboko yangu.

Plz unajua vile kwako sijiwezi, sisikii wala sioni, hebu njoo bas nikuone jomoneeeeh, nimekumiss had naumwaa, yaan unakujaga kuchungulia na kutoka, aaaah nimekumiss mwenzio,.

Am serious nimekumic mno wee kiumbeee,[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Hii verse kaandikiwa Yule mchezaji wa Simba au tumtarajie mwingine ?
 
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Tangu wifi ako ajifungue hajamaliza miezi sita. Hizi dawa zako zinanichangamsha sana. [emoji3][emoji3]
Muache wizzo alee katoto, acha kutamani mzagamuo bhana, jitunze ili siku ya kukutana akute uji umejaa kwa chupa afu wa motoo na mzito, ili akinywa ausikilizie vizuri, c unajua huko uji ni lishe bora? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…