Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndio. Tofauti kabisa.
hivi nimecheka sana, ndo ile ukweli robo tyuuh, robo 3 fix fix fix,

Ila hii JF sio ya kuweka mazoea sana na watu hadi kuonana hovyoo, wengi humu wachoraji, yule Naka kuna kitu kakipata hasa ile vibe ya valentine's km alijipua sehemu siyo, ataona JF chungu woiiiiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…