Selfika na JF: Snap it. Show it

Wimbo mzuri huo ..
Such an inspiring song
 
Asante kwa wimbo..
Umekuwa faraja kwangu hasa kwa siku ya leo iliyogeuka kuwa mbaya mapema sana.
 
9.8ms squared Komando kawasaidie.

Ila wanasiasa shecnzinsky zao, wakati anaonywa alidharau kajiona naye ana ubavu. Yaleyale ya tukaandamane huku muhamasishaji anaangalia TV.View attachment 2130412
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ jamaa wazushi hiyo hesabu huenda wamekosea kuzui rai kuondoka.. wanawake ruhusa kuondoka.. nchi itabaki na wanaume tu.. hesabu ngumu hiyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…