Selfika na JF: Snap it. Show it

wee acha utani ujue kuanza na kuanza tu na JD??? Sio kali Kweli ?? Jack Palladino do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!
The way nilivoanza acha tu ilibidi coz nilikula urojo kwa mara ya kwanza na bahati mbaya wa siku hiyo haukua mzuri (kwa mujibu wa mwenyeji nilieenda nae)

Sikufanikiwa kumaliza bakuli nikaishia nusu ila from there ulinisumbua kama mjamzito kichefu chefu, kuhara na kutapika, kesho yake sikua na hamu ya msosi wowote

Usiku wa pili nikajikaza kula nikaishia vijiko vitano hamu ikakata kampani niliyokua nayo pale sindo waagize JD na kuniambia nionje kidogo ili ikate kichefu chefu hicho

Nikogo mbishi kujaribu alcohol ila sikuhiyo sikua na namna nikawaza mateso nitakayopata tena usiku nikaona kwan nini banaa let me try just a little, nikapiga pafu moja nikawa okay baada ya mda

Sasa from there nikatokea kutamani tena na tena JD
 
chakula kinakula chakula umeona wapi [emoji41][emoji41]
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218][emoji2218]
 
๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ