T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,931
- 30,082
Hahaha....mwenye nayo atakasirika ila ninayo nimeiifazi kwa matumizi ya badae!!Nifanyie wepesi mkuu nitoe tongotongo kidogo

Hahaha....mwenye nayo atakasirika ila ninayo nimeiifazi kwa matumizi ya badae!!Nifanyie wepesi mkuu nitoe tongotongo kidogo

Mkuu upo?





HahahaUmeanza lini upambe Nuksi lakini!!?????

Asante sana Boss Lady. Hili ndilo gauni la kitenge ulichoshona majuzi hapa? Limekukaa hatari. Yaani ukiwa na mwili mzuri nguo zinakaa tu zenyewe



🤐🤐🤐🤐Hahaha![]()
Asante msukuma!Asante sana Boss Lady. Hili ndilo gauni la kitenge ulichoshona majuzi hapa? Limekukaa hatari. Yaani ukiwa na mwili mzuri nguo zinakaa tu zenyewe![]()
Hahaa .. Vijana mna manenoo!!!!
Vijana wanaita shendele.
Mie mbona mzee Boss..Hahaa .. Vijana mna manenoo!!!!
weee kwa uzee gani ulionao labda??? Bado kijana sana wewe Vijana mnawezana wenyewe kwa wenyewe!!Mie mbona mzee Boss..
Mie sikuwezi kabisa
Hahaaa...weee kwa uzee gani ulionao labda??? Bado kijana sana wewe Vijana mnawezana wenyewe kwa wenyewe!!
Ndio nakwambia Vijana mnawezana wenyewe kwa wenyewe!!! Na wazee wenzangu tunakula pension tu!!Hahaaa...
Mkuu wewe ni ngoma nzito.
Mie mnyonge kabisa hapo.
Naomba uje ule pension yangu mzee mwenzangu, siioni ikiisha, na umri nao ndo huoo. Sitaki watoto wagombaneNdio nakwambia Vijana mnawezana wenyewe kwa wenyewe!!! wazee tunakula pension tu!!
Naomba uje ule pension yangu mzee mwenzangu, siioni ikiisha, na umri nao ndo huoo. Sitaki watoto wagombane
Ndoivo mkuu, tufanye namna.Yessssssssss!!!!!!;! Hayo ndio maneno sasa hapo nimeamini u mzee mwenzangu!!
![]()
Ndoivo mkuu, tufanye namna.
We nipe location tu mkuu, haya mapension hayaishi hayaa..Nakusikilizia hapa!


Weka mbali na watt