Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
πππ kule kwetu ndipo yalipotokea na ndipo yalipo zaliwa hakuna fake...ππππ wee Holy weweee.....
Utaua watoto.....
Hapo ndo unawaita wagugo sasa ππ.
#Mungu ibariki kazi ya mikono yangu π.
ππππ Jirani unajikuta unauza ramani.. japo alilala hadi asubuhi bila shari yoyote ile.. mwenye kufamau na afahamu ππ
ππππHoly man....
Rejea basi hili jina na karoad trip kamoja kabarikiwe π.
Maana umegusa penyeweee.
πππ mahala pasipo kuwa na mpaka hakuna maridhiano.. unaingia na kutoka ni kwako hapoo jiraniπ€π€π€π€ nimeacha jirani πππ.
Ila.... heri nusu shari kuliko shari kamili π .
Sasa unaachaje shari yeyote isitokee...ππ
πππ kule kwetu ndipo yalipotokea na ndipo yalipo zaliwa hakuna fake...
akijichanganya mtu anabadili koo na kabira
mtu anamwagiwa asali kitaalamuu.. mbona anajuta kuchelewa kuzaliwa... kazi inaanzia unyayoni.. akifika kwenye kiuno mtu hoi.. ππ
ππππMaisha ya jf tu
ππππ
... trip yangu ya kwanza mwezi ujao kituo cha kwanza mpakani mwa bachu na gogongoni...
nikajue siri za sirini ambazo kwetu sio siri bali ni life style
mwenye kuyajua ni mtu makini kama neurologist afanyapo kazi yake.. hatukosei hadi usingizi mzito ushuke πππToobaaaa.....!!!! π€©π€©
Jirani wewe ndo unauza ramani sasa....π π
Hapo kwenye utaalamu hapo umanikumbusha, bibi alikuwa ananiambia hii kazi inahitaji umakini.
πππ mahala pasipo kuwa na mpaka hakuna maridhiano.. unaingia na kutoka ni kwako hapoo jirani
πππ kila unapogusa kama shoti ya umeme kuanzia utosini.. kila mguso mmoja wa mkono unampelekea kuhisi yupo paradise ππYou have all the blessings π.
mwenye kuyajua ni mtu makini kama neurologist afanyapo kazi yake.. hatukosei hadi usingizi mzito ushuke πππ
acha nitoe report jirani.. ππππ usiku ndio huu na mda wenye ndio huuuSawa jiraniii.
Dont get it twisted[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππ kila unapogusa kama shoti ya umeme kuanzia utosini.. kila mguso mmoja wa mkono unampelekea kuhisi yupo paradise ππ
ππππ jirani shari yenye amani........Jiiiraaaaniiiiiiiiiiii.......
Najizuia kugonga mlango ujue....π π ππ
Yaani hukosei...π.
acha nitoe report jirani.. ππππ usiku ndio huu na mda wenye ndio huuu
ππ huruma huja juu huruma.. na upendo huja juu ya upendo.... na raha huja juu ya raha.. akipata raha napata raha.. akipaliwa na kikohozi napaliwa na kikohozi.. tufika mlimani sitangulii wala hatangulii sote tunafika kwa pamoja bendela kuishusha βΉοΈββοΈβΉοΈββοΈLooh...!!!!
Kumbe ndo unakuwaga hivi.....!!!
Muonee huruma basi...ππ
Anapaliwa na kikohozi kizito...
Hatari fire π₯.
ππππ jirani shari yenye amani........
wahenga walisema haina mwisho....
mwisho wake ndio mwanzo wake....
huwezi kumbati mmbuyu.. ila utauzunguka... mmbuyu
ukichoka hoi.. usingizi mzito kama umepigwa nusu kaputi plus ππππ