Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Mie myarwanda mkuu nilie hamia tanzania miaka hiyoo

[emoji2][emoji2][emoji2].. nimejisahahu nikafikiri tupo kwenye jukwaa letu la magari huwa tunapena tu uzoefu wa mikangafu tunayotumia
Jaguar haiwezi kuwa mkangafu mkuu. Mikangafu ni kama hichi ki-Corolla changu cha 2008...

 
Hahah dah pole Sana hayo maeneo ukionekana wao ni fursa
 
Ilikuwa kuwaje?

Ulilewa kupita kiasi au wameichomoa ukiwa macho na akili zako?

Pole aisee [emoji16]
sijui wametumia mbinu gani yani, nilitoka kukwaruzana na mchoma nyama, nikasema acha niende kuchukua maji .. naenda counter naangalia mfukoni kitu hamna shekeli.. nahisi pale wakati tunazona kulikuwa na wadada nao walikuwa na yao nahisi ile trust ya wadada kujibana bana wakati wa mzozo ndio nimepigwa hapo na sikuwa makini sikuwa na hofu au wazo la kupigwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…