Selfika na JF: Snap it. Show it

Unatoboa ozon
acha weee nimerudi room saa moja asubuhi.. kama barmaid vile πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ sema leo imekuwa chungu kweli muuza mshikaki alinidhulumu jero tumewashiana kidogo nimchape mikono.. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.. nimekaa pale kumbe wadada wezi wameniibiaje sijui hela kangu roho imeniuma hadi usingizi sijapata.. pale sirudi tena
 

Yangu haijawahi piga route ndefu, Route ndefu zaidi imewahi kupiga ni Kibaha pale Puma Fiiling station.
Lakini kila siku ni town hapa hapa. Ikiloga hamna shida
.
 

Hivi mkuu na wewe kwani ni Mhaya? Nogambaki?


(Wahaya ni watani zangu...)
 
Hivi mkuu na wewe kwani ni Mhaya? Nogambaki?


(Wahaya ni watani zangu...)
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Mie myarwanda mkuu nilie hamia tanzania miaka hiyoo

πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.. nimejisahahu nikafikiri tupo kwenye jukwaa letu la magari huwa tunapena tu uzoefu wa mikangafu tunayotumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…