Selfika na JF: Snap it. Show it

Noma sana mkuu, Mimi nina m christmas mmoja umenifyonza damu karibia yote
, mara ya Mwisho nimeenda pale Noble Motors Wakanifyonza na bado mti unamea pale pale
Nimeamua kuishi nao tu.
 
Noma sana mkuu, Mimi nina m christmas mmoja umenifyonza damu karibia yote
, mara ya Mwisho nimeenda pale Noble Motors Wakanifyonza na bado mti unamea pale pale
Nimeamua kuishi nao tu.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ una hatari sana kuendesha gari una tawi la mkrisimasi sio poa.. labda kwa trip za town ila kama mtu wa masafa unaweza ita breakdown kutoka dar ije ikubebe πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.. kuna jamaa alikuwa na Volkswagen ikaloga manyoni pale mbona gari ilipakiwa na gari kurudi dar es salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…