na ka fanta passion hapaDaaah nimemeza mate jamani
na ka fanta passion hapa View attachment 2122200
Atiii???Haihuuu
AnamuonaAnakuna nini?
Wa kishua,kesho nikusalimie tenaπna ka fanta passion hapa View attachment 2122200
ewaaa kesho jumamosi ππWa kishua,kesho nikusalimie tenaπ
Jamanina ka fanta passion hapa View attachment 2122200
ππππππππ.. anonymous muhimu sana.. mapaparazi wengi wasije tega vya kutega siku ya siku ukajikuta font page kwenye thread ya selfika
Na mimi utanisalimia lini au unasalimia wa kishua tu[emoji1787][emoji1787]Wa kishua,kesho nikusalimie tena[emoji23]
Ngoja nirudi room niji selfi uone ππππItakuwa balaa nzitooo....π
nini tena KhantweJamani
Mweeeπ€£π€£π€£π€£Na mimi utanisalimia lini au unasalimia wa kishua tu[emoji1787][emoji1787]
kitamruuuu πππππUnatutamanisha
1. 17% ABV eeeh!...Siyo mbaya ila panda panda kidogo ufike angalau kwenye 32% au 40% huko ili uchangamke mapema...
2. Pizza is so overrated. Ni mafuta matupu mnakulaga yale. Halafu ubaya sasa hata hamjui ni mafuta gani yaani....
3. This queen is a traveller for sure. She has taken many solo trips to Bongo and Kenya...and she has been to Italy and UK by herself. I can ask her to visit you in Sandhurst. Just send the official invitation [emoji16][emoji16][emoji1420]
Ngoja nirudi room niji selfi uone ππππ
Ndo huyohuyoShemeji yupi? Huyu mnayemuita Pep au?
Mimi wala simtambui mwambie ajitambulisheNdo huyohuyo
Au wataka kumtazamia mwingine?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]