Ukawe na kazi njema shem. Na leo ikawe mojawapo ya siku zenye mibaraka tele na furaha. Hata huyo aliye mikoani huko usihangaike kumuwaza na senene zake za Italy. Today is only you my shem
Hapana. Huyo bro atakuwa na lake jambo. Au ni wale Wasukuma wa zamani waliolelewa kwenye mfumo dume na polygamy. Wakipata vihela tu basi kitu cha kwanza ama ni kuongeza wake au michepuko. Wala siyo kosa lako shemu hata siku moja usikae ukajilaumu...By the way asingeenda zake senene za Italy ungezionja lini? Good riddance shem
Ukawe na kazi njema shem. Na leo ikawe mojawapo ya siku zenye mibaraka tele na furaha. Hata huyo aliye mikoani huko usihangaike kumuwaza na senene zake za Italy. Today is only you my shem