Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji3][emoji3][emoji3] mnabahati sana, kiumbe kama Depal hakuna asie taka kuwa nachoo.. cheki ka sura kale ( innocent sura) tume shavu tule.. dah nawatamania.. mie tu humu ndio nagalagazwaaa [emoji3][emoji3]
Hahahaha dah [emoji119] , , Mali za watu hizo mzee biblia inakataa kuzitamani amri ya ngapi sijui ile
 
Hahahaha dah [emoji119] , , Mali za watu hizo mzee biblia inakataa kuzitamani amri ya ngapi sijui ile
aaah! mie alinituma sasa nikuambie kuwa anakuelewa.. sema nilichelewa nikajua amepata ujasiri wa kuja kwako moja kwa moja. mkimalizana na Depal kuna offer hapa ya hotel nyota tano.. mkakae wiki nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…