Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,429
- 95,911
yoyote mjomba,utakua umenisaidiambuga gani nikupe code
vipi pastaaa mamaaa ππ ulikuwa nakutani.. mda ule nilikuwa na pesa ya offer kabisa kulipia hotel yoyote ambayo ungechagua ukaenda relax sijui mngeenda ππDaaah Mtumishi[emoji22][emoji22][emoji22]
na tusio soma kbs je?Huenda nimesoma katika mazingira magumu kuliko wotee ππ.. sitaki hata kukumbukaView attachment 2119679
kama yoyote sogea hata hapo Sinza.. hiyo barabara ya meeda kuanzia kitambaa cheupe hadi lachaz mbuga zimechafuka πππ at your own riskyoyote mjomba,utakua umenisaidia
Kila mtu ana magumu yake inawezekana hata wewe ungetolewa kwenye hali ngumu ukapelekwa huko bado ungekutana na magumu. Mfano mimi hapa nyumbani kwangu nimezoea kulala na joto leo nimekuta ugenini wamewasha feni usingizi hauji[emoji28][emoji28][emoji28] baridi. Wanasema shida hazizoeleki ila mimi naona nimezizoeaMwisho wa siku, kila mtu alipitia ugumu wake na kwa kadri Mungu alivyo mdesign.. kuna mwingine alikuwa anasoma pale IST nae atakuwa alikuwa anapitia magumu [emoji3][emoji3][emoji3]
umande ulikuwa unakwaza sanaaa.. πππ hatuna tofauti si unaona wote tupo hapa tunagombania gori tuna tusio soma kbs je?
shukrani kwa info.acha nisogee hapo,meeda kulia kn kipub cha love kipo?kama yoyote sogea hata hapo Sinza.. hiyo barabara ya meeda kuanzia kitambaa cheupe hadi lachaz mbuga zimechafuka πππ at your own risk
πππ ndio maana maisha ni na shukrani ni kama maji na samaki...Kila mtu ana magumu yake inawezekana hata wewe ungetolewa kwenye hali ngumu ukapelekwa huko bado ungekutana na magumu. Mfano mimi hapa nyumbani kwangu nimezoea kulala na joto leo nimekuta ugenini wamewasha feni usingizi hauji[emoji28][emoji28][emoji28] baridi. Wanasema shida hazizoeleki ila mimi naona nimezizoea
vipi pastaaa mamaaa [emoji41][emoji41] ulikuwa nakutani.. mda ule nilikuwa na pesa ya offer kabisa kulipia hotel yoyote ambayo ungechagua ukaenda relax sijui mngeenda [emoji23][emoji23]
πππ kipo kamada kumbe na wewe unakijuashukrani kwa info.acha nisogee hapo,meeda kulia kn kipub cha love kipo?
πππππUshanizingua; niwacheeeee
hahahahaha.chimbo langu lile kitambo sanaπππ kipo kamada kumbe na wewe unakijua
Piga utupihapa tuone kama anayosema ni kweliKwa hiyo hata mimi nikipiga na camera yako nitatokea hivyo? Wacha mambo yako bwana
Mwili hauna shukrani [emoji28][emoji28][emoji3][emoji3][emoji3] ndio maana maisha ni na shukrani ni kama maji na samaki...
πππ unapenda joto kama mie.. napenda joto aseee.. hasa wakati wa kulala sitaki kabisa mambo ya baridi.. kama nikiwa AC au Fan ujue nataka kujifunika hadi kichwani πKila mtu ana magumu yake inawezekana hata wewe ungetolewa kwenye hali ngumu ukapelekwa huko bado ungekutana na magumu. Mfano mimi hapa nyumbani kwangu nimezoea kulala na joto leo nimekuta ugenini wamewasha feni usingizi hauji[emoji28][emoji28][emoji28] baridi. Wanasema shida hazizoeleki ila mimi naona nimezizoea
Mwambie aniletee cameraPiga utupihapa tuone kama anayosema ni kweli
Sio napenda[emoji1787][emoji1787] kwenye joto pia huwa nateseka[emoji3][emoji3][emoji3] unapenda joto kama mie.. napenda joto aseee.. hasa wakati wa kulala sitaki kabisa mambo ya baridi.. kama nikiwa AC au Fan ujue nataka kujifunika hadi kichwani [emoji3]
ππππ.. basi unajuahahahahaha.chimbo langu lile kitambo sana
Pole sana.. mkuu.. uwe unalala chini.. joto hupunguaSio napenda[emoji1787][emoji1787] kwenye joto pia huwa nateseka
tunashukuru munguumande ulikuwa unakwaza sanaaa.. πππ hatuna tofauti si unaona wote tupo hapa tunagombania gori tu