MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,460
- 1,476
Raheem SterlingHahahaha ana wowowo la kufa mtu.
Halafu kuna kale kalikuwa kachezaji ka Liverpool kakahamia Man city simkumbuki jina... Nae si haba.
Raheem SterlingHahahaha ana wowowo la kufa mtu.
Halafu kuna kale kalikuwa kachezaji ka Liverpool kakahamia Man city simkumbuki jina... Nae si haba.
😂😂😂aiseeeSaint anne kaibiwa simu nahisi 😂😂
Mapumziko muhimu mzee![]()
Dah!😋😋😋
😂😂😂Halafu mida hiyo bia inakuwa tamuuuu kinomanomaKabisa mkuu...sema mim bora nisingepumzika,nimeamkia bar saa 12
Mkuuu mambo gani haya...unataka nipunguze bajeti ya pombe nile??Daaaaaa kutimoto kipewe balon d or
Dah!![]()
Karibu mkuu,yani kushiba kwanza then tumaanza kumoka mapema sana
Shukrani mkuuKaribu mkuu.
We jamaa ni TISS. Acha kutuzingua. Umepewa assignment hapa jf.Kuna wakati tunahitaji ku realise stress... Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya.. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya...
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha... Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia...
Solution hii HAPA sasa.... Utashangazwa na matokeo yake...!!!
.. Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani...Fanya hivi..! hapo ulipo tupia picha yako.. Ya sehemu yoyote mwilini... Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa... Mimi nitaaza na hizi.. View attachment 1217156View attachment 1217157View attachment 1217158




We jamaa ni TISS. Acha kutuzingua. Umepewa assignment hapa jf.
Hapana mkuu mimi nikitaka kunywa sili chakula chochote...nikila hata ninywe kret tatu silewi zaid yakujitia hasara tu
Duh mkuu, huku ni kutamanishana!


