Mkuu. Wewe kweli mtu hamtaniani hata kidogo tena dume jenzio halafu linakutag kwenye post yenye mambo ya kitoto namna hiyo eti kwa hisani yako utasemaje?
Tigo wamenitenda mbayaa Jana mmeweka bando likaisha fastaa!ndani ya masaa mawili yaani nimewapigia simu nimewapa vidonge vyao!then nanunua halotel Leo!