Selfika na JF: Snap it. Show it

They'll be times when you're up
And times when you're down
I'm never too far
Just look around and you'll find Me
I'm by your side, arms open wide

I am good, you are loved
Oh, I am good, you are loved
Oh, yes, you are loved, you are loved
 
Asee coca hapana,labda ulimtag Doctor Shimba Ya Buyenze Ila siyo Mimi..basi tupia sasa hivi unitag,roho yangu ipone
Mimi huwa sitagiwi mkuu. Labda kama unamzungumzia komandoo anayelinda Cobalt na Coltan katika mapori ya Kongo

Leo Boss Lady kasema tusicheze mbali hapa kila baada ya dk. mbili nafungua uzi. Mateso tupu yaani
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Tunamsubiria cocastic kwanza dok!! Saa 2 ndio hiooooo✌️✌️✌️✌️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…