CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Come on T,, i insist, pretty please [emoji120]Next time please
Come on T,, i insist, pretty please [emoji120]Next time please
Ipo. Niliwahi kuitumia kipindi fulani ila ilikuwa ni ya kulipia. Ngoja nitajatibu kuisaka tena aisee. Si kwa kupitwa huku [emoji16]Inawezekana ipo app ya kutoa emoji [emoji23]
Hahaha itafute mkuuIpo. Niliwahi kuitumia kipindi fulani ila ilikuwa ni ya kulipia. Ngoja nitajatibu kuisaka tena aisee. Si kwa kupitwa huku [emoji16]
Nice symmetry [emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] dah!piga daktari aone
Kweli nitaitafuta.Hahaha itafute mkuu
Mmh kawaidaNice symmetry [emoji16]
Kweli nitaitafuta.
Gregory umemwekea picha gani halafu ukaifuta chap. Yaani nafika tu kwenye red light naangalia ishapotea dah! Not fair!
Mbona hujalala? Usingizi umegoma au hubby anazingua?Mmh kawaida
Kawaida ifute ,,,sio kawaida it's special and uniqueMmh kawaida
Sasa mimi unafikiri najisikiaje na niko hapa hapa? Au hujali? [emoji16]Aliomba picha niliyoweka nikamtumia hivyo nimewahi kuifuta . Haijapita hata dakika moja
hatujaionaAliomba picha niliyoweka nikamtumia hivyo nimewahi kuifuta . Haijapita hata dakika moja
Ilikuwa na countdown ya 45 secKweli nitaitafuta.
Gregory umemwekea picha gani halafu ukaifuta chap. Yaani nafika tu kwenye red light naangalia ishapotea dah! Not fair!
akalale saa hz hp tubaki midume tupu?Mbona hujalala? Usingizi umegoma au hubby anazingua?
Hiyo picha ya Gregory iko wapi?
Nimekosa tu usingizi leo maana nililala mchana muda mrefu kidogo .Mbona hujalala? Usingizi umegoma au hubby anazingua?
Hiyo picha ya Gregory iko wapi?
Unaongeza tu chumvi GregKawaida ifute ,,,sio kawaida it's special and unique
Haya bana hongera...Ilikuwa na countdown ya 45 sec
Jamani picha yenyewe sasaSasa mimi unafikiri najisikiaje na niko hapa hapa? Au hujali? [emoji16]
Itabidi uiweke tu tena hata kwa sekunde tano!Jamani picha yenyewe sasa
Aisee nimeweka sekunde chache mno .hatujaiona