Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,423
kumbe na ww ni mtata eehSasahivi nakupa 10 mins ukichelewa baaaasiii!
kumbe na ww ni mtata eehSasahivi nakupa 10 mins ukichelewa baaaasiii!
Bwaana bwanaaa...Wee Yaile siku ilikua hooootttttttt kitu transparent afu mtepeto!
mmmhWee Yaile siku ilikua hooootttttttt kitu transparent afu mtepeto!
Daaaaamn,,, That's a next level sht ,Ngoja niifanye black n white kuondoa ukakasi!View attachment 2112409
Mbn mara kibao tuG hivi ushaselfika humu kweli??? Tupiapo selfie yako basii!
hahahahaha.rafiki mrembo ofa yako ya kweli? Au mtego mtegoniUnazingua sana mjeda asubuhi nimekupa ofa Ukajimwaemwae tani yako ukabaa tu!!
Sijawahi kuiona asee Naombapo uselfike rafiki!Mbn mara kibao tu
weka tena akuone vzrMbn mara kibao tu
Ningeipata mimi ile ofa, ningejipiga sana kifua na kujiambia "mimi ni mwamba"Unazingua sana mjeda asubuhi nimekupa ofa Ukajimwaemwae tani yako ukabaa tu!!
Nakazia.. Gregory fanya hima!weka tena akuone vzr
Boss ngoja nikaisake galleryweka tena akuone vzr
Nakusubiria hapaBoss ngoja nikaisake gallery
Ukihesa hana kucha unamtusi kamanda.Haha..upele huota asiye na kucha. Aweke hapa nimbariki mema ya dunia![]()
okNdio ilikua tamu balaa..mi mwenyewe nilijionea wivu!![]()
hv uliniahidi nn vileHaha..upele huota asiye na kucha. Aweke hapa nimbariki mema ya dunia![]()
hahahaha.huyo wangu kitambo mkuuUkihesa hana kucha unamtusi kamanda.
Kucha anayo, hataki tu kujikuna.
mtu chake njoo umalize, mada iishe sisi tuache kukutamania na hii ofa yako.
Sasa si unaona unatajwa kua huna kucha mkuu..hahahaha.huyo wangu kitambo mkuu
Mkuu mtu chake me najua unaheshimu sana profile yako, ila hii nayo ni profile yako ya JF. Ona maneno yanavyomtoka huyu binti.Hana kuchaaa..ajikune nione sasa! Tena nimemuahidi kiroho safiiiiiii kama anaweza kunimeza mzima mzima animeze ila Aselfike hapa