Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,406


100%Ni pazuri mie mwenyewe nimetamani niendelee kubaki lkn haiwezekanisehemu nzuri sana kuishi... mazingira yake yanavyo onesha
Ni mkaka jinsi tu 😄 tik tok ina vituko sanakumbe unamjua uyo kaka sijui dada
Unanikunjia sana DepalT 1990 ELY kwamba hujanimiss?? Au unavunga
Najaribu kuelewa vilivyopo juu ya meza nashindwa
Amina Amina ikawe hivyo kwako mara dufuBaba Mungu akupe siku njema
Baba Mungu akubariki na kukulindaBaba Mungu akupe siku njema
Unajua fika uliponikosea na njia sahihi ya kuomba msamaha unaijua plz kama unataka urafiki wetu udumu kwa amani fanya kurejesha furaha yanguUmeanza lini kuongea lugha za vijiweni? Kukunja ndio nini
Nimekosea wapi nije kuomba samahani?
😂😂 ila Ely jamani… Nitafute basiUnajua fika uliponikosea na njia sahihi ya kuomba msamaha unaijua plz kama unataka urafiki wetu udumu kwa amani fanya kurejesha furaha yangu
Wewe unatakiwa kuanza kunitafuta mimiila Ely jamani… Nitafute basi
@blackcornshman tuachane na cannabis, djkeys???
Kama sijakosea ni Segera