Selfika na JF: Snap it. Show it

Luka 4:4
Yesu akamjibu, Imeandikwa ya kwamba mtu hataishi kwa mkate tu.

Luka 4:8
Yesu akajibu akamwambia, Imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.

Luka 4:12
Yesu akajibu akamwambia, Imenenwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.

Umejibu vyema kabisa, na mie niongezee kidogo hapo. Angalia sehemu ambazo nime zi bold.

Kipindi yesu anamjibu shetani verse 4 and 8 ilikuwa natumia Logos kumjibu shetani, na ndio maana shetani aliendea kumfatilia.

Ukija verse 12, Yesu antumia Rhema kumjibu shetani, na shetani akauona moto wake.

Hapo unaweza pata maarifa zaidi ya kujifunza kati ya Logos na Rhema.. kwa ufupi utaona shetani hakuogopa upako wa Yesu wa siku 40 jangwani wala nini, shetani kilicho mtoa mbio kwa Yesu ni Rhema ambayo ni verse 12..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…