[emoji123][emoji123][emoji123][emoji298]Nimewawakirisha ✘
Nimewawakilisha [emoji818]
Naomba radhi kwa wenye vitz/iST kwa vile mi similiki hata baiskeli.
Ujumbe wangu: vitz/iST nayo ni magari kama magari mengine yapewe heshima
[emoji120][emoji120][emoji120]AhsanteWewe ni muungwana sana. Ni wachache wa aina yako ktk Tz hii. Hongera kwa kujitambua
Hili guu nikilipata nikishushia na bangi [emoji39][emoji39][emoji39][emoji2960][emoji2960]
Mbona kitambi hakipo tena. [emoji123][emoji123][emoji123][emoji298][emoji298][emoji91][emoji95]View attachment 1235626
Naona unanikimbiza kwa mbaaali
Mbona kama kumelokiwa eti jamani[emoji23][emoji23][emoji23]halafu mbona hujanifanyia ile ziara?
[emoji3][emoji3][emoji3]Sio wewe
Kina mazingira yake[emoji23][emoji23]sometimes kuna mahali nakiacha
NakuonaWanasema : Bora huwe mpambanaji shambani kuliko mkulima vitani.
Kuwa dhaifu ni hatari mno.
Tunapigana na ule UPEPO[emoji3]
View attachment 1235748
Kamweneee....Nakuona
SawaHapana kabisa
Hongera mnooo jamani [emoji847]