Dah mie Siipendi hua naihusisha na uvutaji bangi..Forgive me.Sasa iyo Si ndio sign mkuu. Meno ya njano hii ndio culture etu man ..tena tunajivunia sana ani ..ukiniona tu unajua huyu ni chali ya ngaree au sololoo au kule mbwa chini[emoji3][emoji3][emoji3]
Karib Arusha mkuu ule maisha ..Siku hizi maji yamekaa furesh usiogope meno ya njano ..kama ni mademu wako wengi sana[emoji41][emoji41][emoji41]
Mzima?Mimi mwenyewe naelekea kuwa Bibi sasa ,50's yrs
Najiskia kutupia pichaz humu.
Akitupia fanya kuni tagFanya ivoo
Akitupia fanya kuni tag
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]Kasema ukijitupia wewe na yeye ndo atatupia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
sawa bibi usipate tabu ..me najua bado uko mwake[emoji41][emoji41] ..fungua mlango apo niwe babu.!Mimi mwenyewe naelekea kuwa Bibi sasa ,50's yrs
Hahaha ni vyombo vya usafiri sio magari ..rekebisha apo mkuu..Nimewawakirisha ✘
Nimewawakilisha [emoji818]
Naomba radhi kwa wenye vitz/iST kwa vile mi similiki hata baiskeli.
Ujumbe wangu: vitz/iST nayo ni magari kama magari mengine yapewe heshima
Macimpo ya ukweli[emoji113][emoji106]View attachment 1235520View attachment 1235521
Y natisha?? Nitaweka nyengine kama vpMmmmmmh mwanaume anatisha huyu[emoji3] sura ya kibaisa
Umetisha mwanangu ..kama ni Wewe!!
Sio mbaya yaani sura ya kaziY natisha?? Nitaweka nyengine kama vp