Eeh Cha Mahondaw tena??? Trobaa!😳 Mi hapo najiokoa mwenyewe si nishakwambia najitoa muhanga kwa mbinu za kimafia!! Naanza kujitoa mimi automatic mtu chake atakurukia wewe mtadondoka na kuvuringita weee utanikuta upo juu ya kifua chake Anakuachaje kirahisi wewe kipenzi chake kwa mfano!
Eeh Cha Mahondaw tena??? Trobaa!😳 Mi hapo najiokoa mwenyewe si nishakwambia najitoa muhanga kwa mbinu za kimafia!! Anakuachaje kirahisi wewe kipenzi chake kwa mfano!