Selfika na JF: Snap it. Show it

Eehh si naona hapo Chakorii anakupima .teh kama kwenye muvi yani sterling anatakiwa kuokoa watu wawili at the same time ataanza na yupi hahahaa... Mahondaw siku zote ni Mtu wa kujitoa muhanga bana!
Ndo maana nilisema asisahau wewe ni chombo haswa…Kwamantic hiyo kitu kizuri hakitakiwi kupotea kwahiyo kuanza kukuokoa wewe hiyo ilikuwa ni obvious
 
Ndo maana nilisema asisahau wewe ni chombo haswa…Kwamantic hiyo kitu kizuri hakitakiwi kupotea kwahiyo kuanza kukuokoa wewe hiyo ilikuwa ni obvious
Sina hata cha maana dia....Kujitoa muhanga ni kuwa tayari kufa / kudhurika may be kuokoa wengine..so utaokolewa wewe kwanza...!🤩😘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…