Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,552
- 235,325
Mkuu mimi moyo umeridhika ila kiu sasaa...
Ila wanasema mkono mtupu haulambwi, ngoja nikuchombeze na hii [emoji116][emoji116]View attachment 2098277
@mahondaw mbona huniulizii[emoji3][emoji3]... me nasubiri ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebuu muulize jimbo lina mbunge? Au liko wazi?
Yaani ukiendelea kuselfika hivi; itabidi tu niwe naandika vifungu daily. Lazima niwatie moyo mabinti zangu kupitia wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Thanks Heaven Sent
Huwa napenda maneno yako matakatifu hapa jukwaani
Mwambie shem afanye jambo. Nina hamu ya kumsalimia kutwa mara 3[emoji23][emoji23]
Panandi nkamu gwangu..
Amina mama pasta.Yaani ukiendelea kuselfika hivi; itabidi tu niwe naandika vifungu daily. Lazima niwatie moyo mabinti zangu kupitia wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Sitasema neno mpaka urudi mkuu, uje umalize ulichoanzisha.Go ahead Mkuu naomba umjibu Kijana mwenzio Ngoja niwape nafasi mzunguze kwanza...[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124] Mimi nitarudi badae kidogo cocastic come this way!
Sawa ila mimi na wewe tuna unfinished businessHapana endeleeni tu Mimi nimemaliza Kazi yangu hapo .. Kazi imebaki kwako tu na cocastic
Yoomaweeeeeeee!!ππππ Usinambie...!!!π³π³π³Sawa ila mimi na wewe tuna unfinished business
Ndo nshakwambia ivoo..Yoomaweeeeeeee!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] Usinambie...!!![emoji15][emoji15][emoji15]
Mchawi pesaMkuu; age is just a number. Tutafute hela [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2097836View attachment 2097837View attachment 2097838View attachment 2097839
Bestbosslady
ππππMwambie shem afanye jambo. Nina hamu ya kumsalimia kutwa mara 3[emoji23][emoji23]
π³π³π³π³π³π³π³π³π³πππNdo nshakwambia ivoo..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji39][emoji39][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji854][emoji854][emoji854]
Mama Pasta samahani, mara tatu kwa siku shemejiyo!? Mama una roho wakutosha? Maana ikifika mara ya 3 roho akiwa hajatoshea utabadili muktadha.Mwambie shem afanye jambo. Nina hamu ya kumsalimia kutwa mara 3[emoji23][emoji23]
Amina mama pasta.
Hebu watie moyo mabinti wa leo [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aweke eeh?