Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Leo mambo usikuuu..
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hizi dana dana utanipiga mpaka lini?
Jana mpaka ugali wa mchana nikalia hapa hapa ila waapiii...
Usiku nakuja kuingia saa sita nakuta watu wanasifia tuu...nikawa nshapitwa tena.
Hebu leo nibariki na mimi hata kidogo
 
Nimetuma mbona
akiweka nishtue πŸ˜„πŸ˜„
picha ya mti ulionyooka pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…