Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani nyie marafiki nyie mnanifurahisha sana. Ni avatar tu hiyo niliiokota mtandaoni huko nikaipenda...overt expression of love! Mapenzi mazito na uzee huu mh! Hayo tushawaachia nyinyi vijana. Our time is gone!

Halafu mi nina heshima gani jamani - hasa humu mitandaoni humu? Humu tunacheka tu na kutaniana basi...Huko duniani labda ndo naamini kwamba pengine kuna watu wanaoniheshimu kwa sababu kiuhalisia niko tofauti sana na ninavyojinasibu humu.

Tuendelee kuselfika na kufurahi bana. Nothing serious here


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…