Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
We worship your Holy name
Njoo bwana upande. mti 😊😊Jamanii wewe si ni marefu sana so unanyoosha mkono tu unanichumia!
mkuu unakubaliana nae?Uko deep sana kwenye psychology
acha fix.. basi 😀😀😀..Sanaaa ..nikiamua kutumia muda muda kumchunguza mtu..lazima nimpate japo asilimia 50
Nimeshakua mkubwa rafiki siwezi kupanda mti huo kama huo!Njoo bwana upande. mti 😊😊
😄😄😄Nimeshakua mkubwa rafiki siwezi kupanda mti huo kama huo!
hahahahaacha fix.. basi 😀😀😀..
Tutateteana mama Ila malumbano yakianza nitakukimbia..siwezi kulumbana😁😁🤗
Bora mwaya siku tukishambuliwa na wenye mahaba nae tuteteane 😄
Hizi nukta za nini Kwa huyu mrembo....
Siku hizi unamapengo eheenimekumithi
Ndiohahahaha.kwahy umenichunguza ktk maandishi?
Hebu niwache mimi😄acha fix.. basi 😀😀😀..
Unanicheka siohahahaha
buti kinakuhususorry kipenzi..
kwamba niko km ulivyosema?Kwa msomaji wa kimya kimya kama mbalizi1 ni lazima akubalianae nami
tulie wewe 😋😋 nakuachaje sasaHebu niwache mimi😄
Jamani ona na wewe eti . kweli Mtu mzima wa kupanda juu ya mpera kweli??Tabia mbaya umeanza lini
[emoji1787][emoji1787]