Selfika na JF: Snap it. Show it

Watu wanaogopa sana kuanza sifuri ndio shida ya huyo alie jiamulia kujinyonga.. Anza sifuri tu kama hukubahatisha kupata ulichopata.. watakucheka but utasimama tenaa..
 
Watu wanaogopa sana kuanza sifuri ndio shida ya huyo alie jiamulia kujinyonga.. Anza sifuri tu kama hukunahatisha kupata ulichopata.. watakucheka but utasimama tenaa..
Usipopiga goti kupata mke mwema, ukapiga goti kupata pesa....haya ndo matokeo sasa.

Unaenda zako Chunya kucheki shamba lako la maparachichi, kurudi unakuta pisi imeuza hadi watoto 🀣🀣
 
Usipopiga goti kupata mke mwema, ukapiga goti kupata pesa....haya ndo matokeo sasa.

Unaenda zako Chunya kucheki shamba lako la maparachichi, kurudi unakuta pisi imeuza hadi watoto 🀣🀣
πŸ˜€πŸ˜€ naiomba na account ya bank naiongezea nyingine.. alafu naanza zero.. baada ya mda naishangaza tena inajileta naitia mimba mapacha, ikizaaa mimba tenaaa hiyo ndio inakuwa adhabu yake πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nakuwa natia tu mimbaaa.. nashukuru Mungu sijawai kuwa na woga wa kuanza sifuri maisha, sijawa na woga wa kuchekwa ku fail maisha, sijawai kuwa na woga wakupungukiwa nipo radhi kuisha maisha yoyote for a season
 
Kutokua mwoga ni kitu kizuri.

Lakini pia kuchukua measures ni vizuri even more.

Kuanza upya sio ujinga, ni jambo jema....lakini kama kunaepukika ni bora zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…