Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Kakaπππππshida anafuta harakaaa huyo dk 0.45 imeenda tayari
πππππβ€οΈβ€οΈβ€οΈππππππππππππππ miss you moreKakaπππππ
I miss you moreee
Si ndioo, mnacheza namba zoteyaah! mkikogambana kama wapenzi, mnashift washkaji, kidogo mnakuwa wana.. kidogo mke yani nyumna mda wote inakuwa ya motooo.. sema utoto unaniponza nimekosa π¬π¬π¬
Mzee wa night Nipo Tyr hata uniamshe saa nane usiku nitayakimilisha majukumu yangu bila tatizo na sherehe itaisha salama...Awwww
Hizo data ulikusanya wapi? Jomoneeeeh c ungenidadisi mie mwenyew mbna ningekusadia ktk zoezi lako? Ukute sasa huko kuna sehemu umekosea ktk utafiti wako lol.
Afu kumbe nawee ni mtoto wa Anangisye? Mie nilijua uko chini ya taasisi ya mstaafu mwinyi pale karibu na Jangwani girls sec, nliona unapost sana mambo ya ktk taasisi ile. Kumbe nawee upo hapa opposite na mawasiliano tower?
Hebu tukutane PM bhas jomoneeeh, huenda ukawa mwaka wanguu huu.
mahondaw suala la mavazi na sare za harusi sitaki uniangushe.
Depal wee ndo mpambe wangu,
Chakorii kamati ya mapokezi itakufaa sana.
Lizzy mwenyeji wangu kuhusu kamati ya chakula fanya namna hapa.
Jack Palladino suala la vinywaji naomba ziwe za bei nafuu,
Saint Anne cc yafaa kuwa MC?
Karma mommah kamati ya ulinzi ni yakona nakuaminia.
Heaven Sent naomba mafundisho ya imani, malezi na maisha. c unajua ndoa sio lelemama.
mawardat mlongo music tafuta babu kubwaah.
Mshana Jr babuuh nadhan ndo msimamizi mkuu.
Satoh Hirosh kamati ya tahadhari na dharura hutaniangusha.
Wewe kijana wa hovyoo jina lako ngumu, suala la ukumbi na hotel ya kufanyia honeymoon ni lako, sitaki uniangushe hapo.
Na wengineo woteeeeeeeeeh. stay tuned mambo mazuri yanakuja hapa.
πππππππππβ€β€β€β€β€β€β€πππππβ€οΈβ€οΈβ€οΈππππππππππππππ miss you more
Niache kuomba pesaa.. nikae naomba mke ni matumizi mabaya ya maombi na mda.. mie sio mweu kama kipara ngoso ππ πSi ndioo, mnacheza namba zote
______
Piga goti kama blaza kipara, dua zitafika
Dahπ€£π€£π€£π€£π€£πNiache kuomba pesaa.. nikae naomba mke ni matumizi mabaya ya maombi na mda.. mie sio mweu kama kipara ngoso ππ π
Kama nakuona ukipiga kasi kupata mke wa hivi..ππΏNiache kuomba pesaa.. nikae naomba mke ni matumizi mabaya ya maombi na mda.. mie sio mweu kama kipara ngoso ππ π
ππππ Haitakaa itokee hiii.. hao wazee wa zamani ndio wamekuwa wanaingia mkenge huo.. alafu mie kumuachia mwanamke kila kitu sio issue.. naweza nikatoka hata uchi wa nyama.. baada ya mwezi akashangaa nime double..Kama nakuona ukipiga kasi kupata mke wa hivi..ππΏ
Moshi: Mstaafu wa Polisi ajinyonga baada ya mke wake kuuza nyumba na mali nyingine
Mstaafu wa jeshi la polisi wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro bwana Omary Msangi amejinyonga hadi kufa baada ya kwenda kutibiwa jijini Dares salaam na aliporudi akakuta mke wake ameuza kila kitu ikiwemo nyumba na mashamba hivyo kulazimika kwenda kuanza maisha ya kupanga nyumba. ---- Mstaafu...jamii.app
Ni nani huyo na amefanyaje huyo mkuda nimshukie jumla jumlaπ€£π€£π€£π€£π€£
Msupu anachonifanyia acha kabisa..anajua yeye .
katika maisha yangu nilisha jiapiza maisha yangu kutokuwa driven na mali, pesa au mtu.. mie hata leo ukinianzishai maisha ya kwenda kulala k. koo poa tu sioni noma but najua baada ya siku kadhaaa nitalaa vizuri labda unikate kichwa au uondoe akili na mdomo ndio utaniwezaKama nakuona ukipiga kasi kupata mke wa hivi..ππΏ
Moshi: Mstaafu wa Polisi ajinyonga baada ya mke wake kuuza nyumba na mali nyingine
Mstaafu wa jeshi la polisi wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro bwana Omary Msangi amejinyonga hadi kufa baada ya kwenda kutibiwa jijini Dares salaam na aliporudi akakuta mke wake ameuza kila kitu ikiwemo nyumba na mashamba hivyo kulazimika kwenda kuanza maisha ya kupanga nyumba. ---- Mstaafu...jamii.app
mkumbushe atuwekeenilikuja kutizama miguu ya mdada fulani humu ila naona haja post, nitarudi
Nani huyo?nilikuja kutizama miguu ya mdada fulani humu ila naona haja post, nitarudi
Uanze kuomba mke, tucheze harusi sie .Niache kuomba pesaa.. nikae naomba mke ni matumizi mabaya ya maombi na mda.. mie sio mweu kama kipara ngoso
nimtaje ili unune ?πNani huyo?
Ninune mara ya ngapinimtaje ili unune ?
ila kweli inabidi nim tagmkumbushe atuwekee
Mimi huyu.. niombe mke ππππ.. kwanza mie bado mdogo..Uanze kuomba mke, tucheze harusi sie .