Zawadi yake ingine nimeificha moyoni....zimekua mbili.
Ila huu moyo utapasuka sasa π€£π€£
Kumbe?
Basi ndo maana pale Ileje njia panda walikua wanashangilia kwa nguvu...
Nikadhani shangwe lote lile ilikua kwa hili bodyguard langu lenye miraba minne?
View attachment 2095164