Machozi ya furaha ama masikitikoKila siku ungekuwa unalia ππππ...
ya furahaaa tuu jamanii... ukiishi na mie ni kama upo na Cartoon ndani ππππ€£π€£π€£π€£πππ hutokaa unune hutokaa kwa amani ni timbwli timbwili kama Tommy and Jerry ππMachozi ya furaha ama masikitiko
reli nyembamba inabeba mabehewa.. ebu nifanyieni wepesi jamani mie mkubwa mwenzu.. π’π’π’
We ulisikia wapi mpasuanoNitakupasuaaaaaa mrembo mzuri πππ
Eeh! mie sio katoto chaaa.. na kweli ndio maana wachumba wananikataaga nimegundua naonekana katoto dah
Halafu inaonekana unanifuatilia Kwa ukaribu mno wigeπ[emoji1787][emoji1787]
Napenda kufurahi muda mwingi.utanifaa sana Kwa matumizi ya yanguya furahaaa tuu jamanii... ukiishi na mie ni kama upo na Cartoon ndani ππππ€£π€£π€£π€£πππ hutokaa unune hutokaa kwa amani ni timbwli timbwili kama Tommy and Jerry ππ
Kula unenepe sasa we naeEeh! mie sio katoto chaaa.. na kweli ndio maana wachumba wananikataaga nimegundua naonekana katoto dah
HeeeππWacha inyeshe
Tuone panapovuja[emoji1787]
Bado mnaendeleea kuninyanyapaaaa eeh.. mahondaw ananitaa dogo. na wewe unaninyapaaa ka mwili kadogo nitawazibuaaaa π¬π¬π¬π¬Kula unenepe sasa we nae
Wige kaelewa lips mate hizo ππ.. acha nimsemee tuHalafu inaonekana unanifuatilia Kwa ukaribu mno wigeπ
Huyo anaonekana ndio mwili wake wee alivo wa kishua hivo angashanenepa mpaka kupasuka ...Wanene Wengi wao hawana pumzi na stamina kunako!!πΆKula unenepe sasa we nae
Akipewa nanani sasa!!!!Ili usiitwe dogoβ¦siku ukipewa mashine usilaze damu..ichakate haswa
kwenye ubora wakoo bosiiiiiiiiiiiiHuyo anaonekana ndio mwili wake wee alivo wa kishua hivo angashanenepa mpaka kupasuka ...Wanene Wengi wao hawana pumzi na stamina kunako!!πΆ
Nani wa kunipa. machine yake.. acha nibaki tu na ka udogo kanguu.. wewe. mwenyewe wanikandamiza kabisa shimoni.. ππIli usiitwe dogoβ¦siku ukipewa mashine usilaze damu..ichakate haswa
Khaa..Wige kaelewa lips mate hizo [emoji4][emoji4].. acha nimsemee tu
[emoji1787][emoji1787]Ili usiitwe dogoβ¦siku ukipewa mashine usilaze damu..ichakate haswa