nashindwa kupanga bajeti kwa vile sijui bei. Ila nikuulize wewe labda kwa mfano tukaambiwa figo moja milioni ishirini kila mtu akatoa moja jumla tukapokea mil.arobaini wewe utafanyia nini milioni mbili yako