Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Ukiamuaga bana; ngoja utibuke sasa
Every Christian is a Minister...
Usinune jamanii [emoji846][emoji846][emoji846], unataka zawadi gani mama pastaaaa
Wao.. basi inakuja kama suprise ππZawadi inapendeza zaidi uletewe kama surprise, sio unajua kabisa naletewa/kupewa kitu fulani.
πππEwaaaaaa; nimerudi kundini[emoji23][emoji23]
AlwaysBlack is beuty ππ
πππ.. Eeeeeeeh! Haya umesema thuuu mwenyeweee. Kiwango cha juu cha maombi ni pale utapokuwa unawaza kitu na inakuwaa.. ni pale unapo panga kwenda chumba cha maombi unapokea majibu yote before hujakaa kwa kiti.. Pale unapo waza jambo na linakuwa.. sasa acha nichague mawazo juu yako yaliyo mema tuuuuu ππππ tushindane kuwaziana memaaaJaribuni muone [emoji23][emoji23][emoji23]
Hatimaye nimesharudi juu kileleniπ€π₯π₯
Hatimaye natagiwa pekeyangu yaaniπ€
Eeehπ€£π€£π€£Ukiungana tu na huyo; maombi juu yangu hayatosikika
Nasubiri aniulize ili nitiririke salamu zakoπ€Nikikaa kwenye standard ambayo naiishi au kuishi ambavyo naishi nje ya chart.. Basi tunajichanganya kwenye majira haya tu.. but soon majira haya yanaisha.. mdogo wangu Saint Anne atakupa salamu zangu.. na ndioa maana pia nimejifunga kujuana na mtu mwingine yoyote maana ukinikuta physical na robot linachort hapa πππππ watu tofauti.. mie ni mkali sana physical mkimya sana, mkali sana kwenye standard za Mungu ambazo nipo guided kuziishi ila pia najifunza na maisha mengine ili ku balance that why sisomeki langi kwa kipindi hiki tu ππ
Kabisatumkazinie nini.. tulikamate wingu eeh ππ
ππππ Ewaaaa acha tukamate kisawa sawa hadi aje aombe pooKabisa
Nikikaa kwenye standard ambayo naiishi au kuishi ambavyo naishi nje ya chart.. Basi tunajichanganya kwenye majira haya tu.. but soon majira haya yanaisha.. mdogo wangu Saint Anne atakupa salamu zangu.. na ndioa maana pia nimejifunga kujuana na mtu mwingine yoyote maana ukinikuta physical na robot linachort hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu tofauti.. mie ni mkali sana physical mkimya sana, mkali sana kwenye standard za Mungu ambazo nipo guided kuziishi ila pia najifunza na maisha mengine ili ku balance that why sisomeki langi kwa kipindi hiki tu [emoji23][emoji23]
Nasubiri aniulize ili nitiririke salamu zako[emoji847]
πsafi.ππΏwana moto hao.. ππ
[emoji3][emoji3][emoji3].. Eeeeeeeh! Haya umesema thuuu mwenyeweee. Kiwango cha juu cha maombi ni pale utapokuwa unawaza kitu na inakuwaa.. ni pale unapo panga kwenda chumba cha maombi unapokea majibu yote before hujakaa kwa kiti.. Pale unapo waza jambo na linakuwa.. sasa acha nichague mawazo juu yako yaliyo mema tuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tushindane kuwaziana memaaa
Be blessed in advanceWao.. basi inakuja kama suprise [emoji846][emoji846]